Saturday, September 16, 2017

Omgrace Castor Oil

Omgrace tumekuletea mafuta bora kabisa ya Castor ambayo yanatumika kutibu na kupendezesha pia wale wenye nywele zinazokatika,nywele nyepesi,zisizokua haraka,mba na suluhisho limeshapatikana ni Omgrace Castor Oil, inatumika kwa matumizi zaidi ya 10 ni tiba kwa magojwa mengi na pia yanafanya ngozi kuwa laini
kuondoa chunusi na hata kwa wenye upara yanaotesha nywele ,ukinunua ndani yake unapewa na karatasi yenye maelezo ya jinsi ya kuyatumia mafuta haya kwa matumizi mbalimbali zaidi ya 10,Gharama yake ni Tshs 12,000/=Dar es salaam tunafikisha(delivery) na mikoani tunatuma.
Mawasiliano whatsapp/call +255 629084421
Tufolo instagram kwa kuona bidhaa zet nyingine @omgracetz


Friday, September 8, 2017

Jinsi ya kujitangaza kwenye mitandao


Wengi tunatangaza biashara zetu kwenye mitandao ya kijamii lakini Je unapokea wateja uliowategemea? Unapokea wateja sawa na gharama unazotumia kujitangaza?

Wengi tumejisahau tumeegemea sehemu moja kujali zaidi maneno kuliko picha, katika mitandao ya kijamii 67% ya watumiaji hupenda picha kuliko hata maelezo yake,Je picha zako zikoje? Wengi wetu tunapiga picha kwa simu zetu na tunaedit kwa kuweka namba na kupandisha kisha tunasema tangazo, lakini unategemea tangazo hilo likulipe zaidi ya ulichokifanya?

Unaweza kukaa muda mrefu na kutafuta mchawi nani kumbe hakuna kitu ni makosa madogo madogo yanayotokea muda mwingine kwa kutambua ama kutokutambua.

Karibu leo Legacy tukutengenezee muonekano thabiti kwa kukudizainia matangazo ya online na kisha kukupostia kwenye mitandao ya kijamii,sio kila muda ni wasaa  wa kupost tangazo unaweza kupost tangazo na umelipia muda ambao wateja wako wamelala.wasiliana nasi tukutengeneze na tukutangaze kwa wateja wako sahihi.


Mawasiliano 0713603699 instagram @legacycotz @onlineadd